Sobre Shalom Radio Arusha
Shalom Redio imefunguliwa chini ya kanisa la Kaloleni Pentecoste, na kusimamiwa na uongozi wa kanisa. Kazi kubwa na lengo kuu la Shalom Redio ni kuutangaza ufalme wa Mungu kwa mataifa na kuwafanya mataifa kuwa wanafunzi wa Yesu, ili kulitimiza agizo kuu la Kristo Yesu, Marko 16:15-16.
Frequências
-
Arusha
97.3 FM
Contatos
Website
https://www.shalomfm.co.tz/
Morada
Kaloleni Pentecoste, Opp. Kaloleni Sec. School Arusha, Tanzania
Monitoramento de transmissão por ACRCloud